Showing posts with label wodaworld. Show all posts
Showing posts with label wodaworld. Show all posts

Wednesday, 28 September 2011

WANAMUZIKI WA TANZANIA WAIGE HII HAPA KWA MSECHU

Peter Msechu alipopata ushindi kwenye mashindano ya Tusker Project Fame Allstars watanzania wengi walifurahi. Wengi wao walifurahi ushindi na mambo mazuri aliyoyafanya akiwa katika safari yote ya kuelekea fainali ya mashindano hayo. Hiyo ni kwa mashabiki. Kwa wanamuziki wengine wa kitanzania wanatakiwa kuiga namna Msechu anvyojitahidi kufanya muziki ambao sio wa kusahulika kirahisi.Kwa kufanya hivyo tutafika mbali.

Tuesday, 27 September 2011

SIKILIZA NYIMBO MPYA YA JOH MAKINI &G NAKO-BYE BYE

Mkali wa Hip Hop toka Arusha, Joh Makini amedondosha tena nyimbo kali inayokwenda kwa jina la Bye Bye.Ndani ya nyimbo hiyo iliyotengenezwa na producer Pancho Latino wa B Hitz yupo G Nako ambaye kwa pamoja na Joh Makini na wengine wengi wanaunda kundi la GMF....Weusi

Friday, 16 September 2011

PROF JAY KUFANYA NYIMBO NA BARNABA WA THT.

Nguli wa muziki wa Hip Hop Tanzania,Prof. Jay yupo kwenye maandalizi ya kutengeneza nyimbo mpya ambayo atashirikiana na Barnaba wa THT. Prof aliandika katika mtandao wa kijamii wa twitter "Ndani ya Bongo Records na Barnaba Kazi juu ya kazi, Majani Mtamboni!!".

Rihanna has stripped down to her undies .



"Rihanna Navy! ARMANI is pleased to unveil the FW11-12 Emporio Armani Underwear and Armani Jeans advertising campaign featuring Rihanna! " Rihanna posted on Facebook.
The photos see RiRi posing in sexy lingerie, as well as modelling jeans in the black and white pictures.

Wednesday, 3 August 2011

GMF...JOH MAKINI,GNAKO,NICK WA PILI NA LORD EYEZ WATISHA FIESTA

Wakali wa Hip Hop kutoka pande za kaskazini mwa Tanzania,GMF(Good Music Family)walikinukisha mbaya kwenye Fiesta ya mwaka 2011 iliyofanshika Leaders...Staili yao ya mavazi,michano na umiliki wa steji uliwaacha mafans wakitumia calories nyingi kutupia mikono kwenye hewa....

Thursday, 19 May 2011

LIL KIM NA KEYSHIA COLE WAANZISHA BIFU KWENYE TWITTER.









Wanamuziki wa kike kutoka pande za Marekani,Lil Kim na Keyshia Cole,wamekuwa wakidisiana kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter.Wanadada hao wameshindwa kuelewana kutokana na kutofautiana tofauti ya urafiki na uaminifu.

Monday, 4 April 2011

RAIS KIKWETE KUFUNGUA UJENZI WA BARABARA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete anafungua ujenzi wa barabara ya New Bagamoyo Road, 12.9km kutoka Mwenge mpaka Tegeta.Ceremony ya ufunguzi huo inaanza saa tatu asubuhi.Barabara hiyo ambayo Contractor (kampuni ya ujenzi) ni KONOIKE ya Japan, Consultant (msimamizi wa ujenzi) ni Ingerosec Corporation nayo ya Japan inajengwa kwa msaada wa serikali ya japan (Grant Aid) kupitia Japanese International Coorporation Agency(JICA).n