Wednesday, 3 August 2011

GMF...JOH MAKINI,GNAKO,NICK WA PILI NA LORD EYEZ WATISHA FIESTA

Wakali wa Hip Hop kutoka pande za kaskazini mwa Tanzania,GMF(Good Music Family)walikinukisha mbaya kwenye Fiesta ya mwaka 2011 iliyofanshika Leaders...Staili yao ya mavazi,michano na umiliki wa steji uliwaacha mafans wakitumia calories nyingi kutupia mikono kwenye hewa....