Rais Jakaya Mrisho Kikwete anafungua ujenzi wa barabara ya New Bagamoyo Road, 12.9km kutoka Mwenge mpaka Tegeta.Ceremony ya ufunguzi huo inaanza saa tatu asubuhi.Barabara hiyo ambayo Contractor (kampuni ya ujenzi) ni KONOIKE ya Japan, Consultant (msimamizi wa ujenzi) ni Ingerosec Corporation nayo ya Japan inajengwa kwa msaada wa serikali ya japan (Grant Aid) kupitia Japanese International Coorporation Agency(JICA).n