Nguli wa muziki wa Hip Hop Tanzania,Prof. Jay yupo kwenye maandalizi ya kutengeneza nyimbo mpya ambayo atashirikiana na Barnaba wa THT. Prof aliandika katika mtandao wa kijamii wa twitter "Ndani ya Bongo Records na Barnaba Kazi juu ya kazi, Majani Mtamboni!!".