P square toka nigeria ambao kwa sasa wako chini ya label ya Akon, Konvict.Wameachia ngoma mpya kali wakimshirikisha rapa toka MMG,Rick Rozay.Ngoma hiyo inaitwa Beautiful Onyinye.Hii ni dhahiri kuwa vijana hao wakiafrica hawapo tayari kurudi nyuma kwa sasa na wanchotaka ni kuipeleka mbali sanaa yao ya muziki