Tuesday, 22 March 2011

Snoop dogg na Wizz khalifa ndani yaa komedi...

Mtu mzima Snoop Dogg toka pande za Los Angles ameanza kushoot filamu ya komedi ambayo atashirikiana na rapa Wizz Khalifa anyesumbua na track Black and Yellow. Snoop anasema alikutana na Wizz Khalifa kwenye kufanya remix ya Black and Yellow na kuwa marafiki na baadae wakapata idea ya kutengeneza filamu hiyo ya komedi inayoitwa High School...