Msanii mkali wa Bongo flava na mwenye mafanikio makubwa, Ambwene Yesaya
au maarufu kwa jina la AY anatarjiwa kupafomu pamoja na kundi la muziki
kutoka kenya Sautisol kwenye jumba la Big Brother Africa Stargame
weekend hii.Huu utakua uwakilishi mwingine mkubwa kutoka Tanzania katika
jumba hilo baada wa ule wa Diamond,na DJ Fetty wa Clouds FM.