Mwanadada wa kimarekani aliyejitengenezea jina kubwa kwenye ulimwengu wa Tennis duniani, Serena Williams ameamua rasmi kujihusisha na muziki wa rap.Kwa mujibu wa TMZ wimbo wa Serena umerekodiwa kwenye studio inayoitwa B Major Music Group.Mistari iliyopo ndani ya nyimbo hiyo ni mikali na inadaiwa anaweza akfanya vizuri kwenye gemu ya rap kama anvyoitikisa anga ya tennis duniani.