Wednesday, 9 May 2012
4 SHOO 4 SHIZZO YA PREZZO
Jamaa anatoka pande za Nairobi Kenya, anakubalika kwenye gemu ya muziki na pia ana utajiri mkubwa unaozidi kumpa umaarufu.Na zaidi ya hapo kwa sasa ni mshiriki kwenye jumba la Big Brother Africa Stargame.Hii ni moja kati ya nyimbo zake classic.
Newer Post
Older Post
Home