Kutoka Bongo Records,P Funk anamleta kwenu JAY MOE.Ni kitambo kirefu tangu tumsikie kijana huyu ambaye nasubutu kumuita "Superman wa Bongo".Jamaa anajua jinsi ya kucheza na maandishi kisha kuyabadilisha kuwa sauti ambayo Majani aniweka vizuri Juu ya beat na kupiga Kiitikio cha nguvu.Enjoy