Saturday, 12 November 2011

ANGALIA NYIMBO MPYA YA MWANA FA "YALAITI"

Mkali wa kuandika amerudi tena,akikuletea mziki mzuri huku akikwambia hutakiwi kushangaa sana kwani ndo kazi yake...Anawajibika tuu.Mwana FA na Linnah hawa hapa na ngoma kali kabiisa "YALAITI".Binamu wa Watanzania,Africa na Dunia