Tuesday, 22 November 2011

PROFESSOR JAY KUTOA NGOMA MPYA IITWAYO KAMILI GADO

Mkongwe kunako gemu ya HipHop ndani ya bongo,Professor Jay "The Heavy Weight Mc" ametangaza kwenye mtandao wa kijamii wa twitter kuwa atatoa ngoma mpya soon yenye jina la KAMILI GADO.Ngoma hiyo imefanywa ndani ya MJ Record na produza mkali Marco Chali ambaye pia ameshiriki kwenye uimbaji wa ngoma hiyo.Kwa mujibu wa Professor Jay mwenyewe Albam nzima imekamilika.Tumsubiri mkongwe tuoneeeee.