GOOGLE KULETA MTANDAO MPYA WA KIJAMII UITWAO GOOGLE PLUS
Google wamekuja na mtandao mpya wa kijamii unaoitwa Google plus na utakua ni kama "Facebook kwa ajili ya wsiopenda facebook".Mtandao huo utakusaidia kushea vitu kama picha na jumbe kwa watu maalumu katika mfumo wa circles.....God bless Developers