Saturday, 2 April 2011

WIZ KHALIFA KATUPIA TATTOO KWENYE USO....

Rapa Wiz Khalifa ameamua kutupia tattoo kwenye uso wake.Rapa huyo ambaye anatesa na album yake Rolling Papers iliyo mpya sokoni haoni tabu kupiga tattoo hiyo itakayofanana na gucci man.Wiz ambaye amejawa na tattoo mwilini mwake ameamua kugusa na reception.....