Saturday, 2 April 2011

BIRDMAN AONGELEA "THE CARTER IV" NA "LIKE FATHER LIKE SON 2"..

CEO wa Cash money Birdman ameongelea albam ya Lil wyne inayotarajia kutoka mwezi wa tano mwaka huu kuwa ni mabadiliko makubwa.Birdman amesema albam hiyo inayoitwa "the carter iv" itakuwa na ladha halisi ya Cash money na mtu pekee aliyeshirikishwa kutoka nje ya Cash money ni Rick Ross.Pia ameongelea albam ya collabo aliyofanya na lil wyne inayoitwa "like father like son 2" kuwa si ya kukosa....