Friday, 1 April 2011

T pain kuanza kushoot video ya nyimbo yake mpya...


Mkali wa Auto tune kutoka pande za Obama land, T pain anatarajia kuanza kushoot video ya bonge la love song alilofanya na Chris Brown. Nappy Boy amehala kihiivyo kupitia mtandao wa facebook na kusema kuwa anataka video hiyo kuwa ya public so mafans wake waibuke kwa wingi kumpa tafu kwenye kichupa hicho.Nappy Boy na Pretty Boy again.....