Kutoka kushoto ni Juma Kapuya,Harrison Mwakyembe
(naibu waziri wa wizara ya ujenzi),John Magufuli(waziri
wa ujenzi)
Rais Kikwete,Hiroshi Nakigawa(balozi wa japan)
Mbunge wa jimbo la kawe Halima Mdee(Chadema)
pia alikuwepo
Rais Kikwete akipunga mkono.......
Baadhi ya staff ya KONOIKE...
Staff ya KONOIKE pamoja na mmiliki wao na Rais
Kikwete.
Rais Kikwete akikata utepe pamoja na Balozi wa
Japan nchin Hiroshi Nakagawa.
Resident engineer wa project