Monday, 4 April 2011

AKON KUPIGA SHOW KALI PANDE ZA INDIA....

Mwanamuziki Akon anatarjia kupiga show mbili kali pande za India.Akon amesema ana shauku ya kuwaburudisha mafans wake waliopo pande hizo.Show hizo zitahapen tarehe 16 na 17 mwezi huu wa nne maeneo ya Gurgaon karibu na New Dehli..