Msanii wa kizazi kipya Albert Mangwea maarufu kama Ngwair au Cowbama ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la MASIKINI WENZANGU.Katika ngoma hiyo iloyofanyika AM records Ngwair ameshirikiana na msanii aneyejulikana kwa jina la Mirror.Ngoma kwa ujumla inaelezea matatizo ya watanzania na jitihada chache za viongozi katika kutatua matatizo hayo.
Bofya hapa kuisikiliza na kuidownload.