Wednesday, 11 July 2012

LIVERPOOL WAINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUSAJIL KI SUNG YUENG

Kocha mpya wa Liverpool Brandan Rodgers ameonesha nia ya kumsajili mchezaji mahiri wa Celtic na timu ya taifa ya Korea Ki Sung Yueng.Habari zinadai Rodgers anamuhitaji Ki kwa aina yake ya uchezaji.Midfielder huyo wa kikorea anasemekana kuwa na aina ya uchezaji kama ya Steven Gerald.