Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia Chama cha mapinduzi (CCM), JEREMIA SUMARI ameripotiwa kufariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mbunge huyo alikuwa amelazwa wodi la Moi katika Hospital ya Taifa
Mhimbili kijiji Dar es Salaam hivyo Leo asubuhi Mungu kaamua kuichukua
roho yake .Ni mbunge wa pili kufariki dunia mwaka huu wa 2012 baada ya mbunge wa viti maalumu kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), REGIA MTEMA kufariki dunia.Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi.