Mkali wa Hip Hop toka pande za A-town jana ametetea vyema uking wake Hip hop baada ya kuchukua tena tunzo ya msanii bora wa Hip hop.....Katika speech aliyotoa wakati wa upokeaji wa tuzo hiyo joh alikemea vikali mauji ya utumiaji wa visu..Hongera Joh...Weusi