Mauaji ya kutumi kisu yamekuwa yakitokea mara nyingi sana pande za A-Town.Siku baaada ya siku tunazidi kuwapoteaza ndugu,jamaa na marafiki kutokana na mauaji hayo ya utumiaji wa visu. Ni jukumu letu kama wanaanchi kupiga vita vikali mauaji hayo.Siku si nyingi tumempoteza Hesau(pacha) wa Watengwa na chanzo ni mauaji ya kutumia kisu(betto).Na kama una kumbukumbu marehemu Faza Neli alitutoka kwa staili kama hiyo. Kesho anayefuata inaweza ikawa rafiki,ndugu au hata wewe mwenyewe.
PIGA VITA MAUAJI HAYA.