Sunday, 27 March 2011

KILI HAWAJASIKIA PAA>>>>WAJUE ILIWAPATA.

Hatimaye Gwiji wa muziki wa Hip hop toka pande za Kijenge juu Arusha ameonesha Ubraza kwa marapa wa Tanzania kwa kuchukua tunzo mbili katika tuzo za Kili jana usiku.Jcb Makalla alifanikiwa kuchukua tuzo ya wimbo bora wa Hip hop na wimbo bora wa collabo ambao ni UKISIKIA PAA....Hongera JCB....Arusha iz in tha houz.