Friday, 25 February 2011

MAANDAMANO YA CHADEMA MWANZA

Wananchi wa mwanza waliochoshwa na mgao wa umeme wakiwa wameongozwa na wanachama wa chadema wakiandama.Hali hii ya maandamano na migomo imekuwa staili maarufu ya kudai haki kwa bara la Afrika.Kuanzia vyuo vikuu,taasisi,na vyama vya uteteaji wa haki za binadamu.Je tutafika?????????????????