Friday, 29 April 2011

Prince William afunga ndoa na Kate Middleton..

Prince Willium wa Uingereza amefunga ndoa na mchumba wake Kate Middleton leo.Ni bonge la harusi lenye hadhi zote za kifalme.