Bifu kati ya Bob Junior"Mr Chocolate flavour" na Diamondi pamoja na Shetta limefikia hatua ambayo sio nzuri.Hiyo ni baada ya Bob junior kukata RB na kudai kwamba iwapo akikutwa mahalipopote amekufa basi wakamatwe Diamondi na Shetta.Ni Rais wa wasafi Vs Rais wa Masharobaro...