Msanii wa kibongo anayefaya shughuli zake za muziki nchini Ujerumani, Beezy Mokiwa anatarajia kuachia video yake mpya siku ya kesho tarehe 17/4.Beezy ametupia picha iliyopo hapo juu kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook na kuandika maneno "
Hivi ndivyo video yangu itakavyonekana,inatoka kesho kwenye rap.de".