Thursday, 16 August 2012

ANGALIA HAPA THE MAKING YA VIDEO YA BAADAE YA OMMYDIMPOZZ

Kwa mara nyingine tena wasanii wa bongo fleva wanajikita kwenye utengenezaji wa video zenye ubora wa hali ya juu.Baada ya AY kutengeneza video yenye ubora wa hali ya juu ya wimbo wa party zone pande za jozi kwa madiba(South Africa),sasa OMMY DIMPOZ naye kafuata kwa kutengeneza video kali kabisa pande hizo hizo.Video imetengenezwa na Adam Juma wa Next Level.Angalia hapa the making na teaser ya video hiyo enjoy.

Tuesday, 14 August 2012

CHECK VIDEO YA CYPER-F.B.G FT BANX

Hii ni video inayowaonesha FBG(Fly But Ghetto) pamoja na Banx.Wakichana kwa lugha ya kiingereza.Iangalie hapa . Enjoy.

Thursday, 9 August 2012

VIDEO MPYA YA G NAKO NA AY IANGALIE HAPA.

Memba wa Nako2Nako mwenye mikogo mikali ameachia video mpya ya wimbo wake alioshirikiana na AY.Iangalie hapa.

Tuesday, 24 July 2012

NGWAIR AACHIA NGOMA MPYA.

Msanii wa kizazi kipya Albert Mangwea maarufu kama Ngwair au Cowbama ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la MASIKINI WENZANGU.Katika ngoma hiyo iloyofanyika AM records Ngwair ameshirikiana na msanii aneyejulikana kwa jina la Mirror.Ngoma kwa ujumla inaelezea matatizo ya watanzania na jitihada chache za viongozi katika kutatua matatizo hayo.
Bofya hapa kuisikiliza na kuidownload.

Wednesday, 11 July 2012

LIVERPOOL WAINGIA KWENYE KINYANG'ANYIRO CHA KUSAJIL KI SUNG YUENG

Kocha mpya wa Liverpool Brandan Rodgers ameonesha nia ya kumsajili mchezaji mahiri wa Celtic na timu ya taifa ya Korea Ki Sung Yueng.Habari zinadai Rodgers anamuhitaji Ki kwa aina yake ya uchezaji.Midfielder huyo wa kikorea anasemekana kuwa na aina ya uchezaji kama ya Steven Gerald.